dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, September 16, 2012

TANZANIA DAY YAFANA KWA NGUVU ZOTE HUKO DMV

Posted: 15 Sep 2012 12:14 PM PDT


Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico katika picha ya pamoja na mmoja ya Wajasiliamali waliofika Ubalozi wa Tanzania Washington, DC kwenye siku ya Mtanzania inayoendelea hivi sasa jijini hapo


Penina Manamba wa A to Z Language Services akimjulisha jambo Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar katika siku ya Mtanzania inayoendelea sasa hivi Jijini Washington, DC.
Watanzania na marafiki zao waliofika Ubalozi wa Tanzania Washington, DC wakipiga picha na Mhe. Balozi.


Lau Kyariga wa EBENEZER akiwakilisha siku ya Mtanzania.




























Amani Monu wa Maryland, USA amependeza sana siku ya Mtanzania inayoendelea leo Ubalozini wa Tanzania Nchini Marekani.


Picha zote kwa hisani ya VIJIMAMBO!

No comments :

Post a Comment