dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, September 17, 2012

USIKU WA MTANZANIA ULIVYO FANA WASHINGTON DC


Viongozi wakiwa kwenye meza kuu usiku huo mwenyekitu wa Jumuhia ya DMV katikati na mwakilishi wa balozi mwana Mero na msahidizi wa balozi mama Munaka. Usiku huo wa Mtanzania ulipambwa na fashion show by Asya Khamsini na Fabak Fashions. Baada ya hapo watu walikula, kunywa na kusakata rumba lililokuwa likirindimishwa na Dj Luke.




Picha: Vijimambo
For more pictures please, click here

No comments :

Post a Comment