dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, November 28, 2012

Mke wa Mhe Hamad Rashid afariki dunia

Pole sana Mhe Hamad Rashid!

Written by   //  28/11/2012 

Mke wa Mhe Hamad Rashid, mbunge wa jimbo la Wawi, Bi Kisa amefariki dunia. Maziko yanatarajiwa kuwa kesho jioni huko nyumbani kwake Daressalam.
Tunatowa mkono wa pole kwa Mhe Hamad katika msiba huu mzito kuondokewa na kiungo muhimu katika maisha yake. Huu ni mtihani kwetu sote tutarejea kwake
Chanzo: Mzalendo

No comments :

Post a Comment