dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, April 30, 2014

SAIDIA WATOTO WALEMAVU ZANZIBAR!

Mahojiano na Faria Zam kuhusu msaada wa watoto walemavu Zanzibar

Kwa wale wote wanaotembelea ukurasa huu tunawaomba kuchangia WATOTO wenye ulemavu Zanzibar. Kwa MTU yoyote mwenye MOYO wa kuchangia Standing Order kwa ACC 63972496. Sort Code 20.42.76. Jina: Hilmy Shawwal Barclays. Bank £ 1. £2. £3, etc etc CHANGIA Uwezo wako kama huna kitu japo MAWAZO yako yanahitajika kuongea na KUWAZA na muhusika. Insha-Aallah M/Mungu atakulipeni kwa imani zenu Ameen.
Kama upo nje ya Uingereza unaweza kuchangia kwa njia rahisi ya World Remit kupitia The People's Bank of Zanzibar Ltd. Tembelea hapa: www.pbzltd.com na baadae click SEND MONEY button. Ikiwa ni mara yako ya mwanzo kupeleka pesa kupitia agent wa PBZ Ltd basi hutolipa fees.
  
Pichani: Faria Zam muazilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation nchini Uingereza akihojiwa na Abou Shatry wa Jamii Production Washington DC

Karibu katika mahojiano ya Jamii Production na Faria Zam a.k.a Ferry Butcher  ambae ni muazilishi wa kusaidia watoto walemavu Zanzibar kupitia (Hilmy Disability Charity Organisation) kutoka nchini Uingereza pale alipopata fursa ya kuhojiana na Abou Shatry kuhusu maswali mbalimbali ya kusaidia watoto wa walimavu Zanzibar siku ya Ijumaa Jan 17, 2014  Washington DC.

Mahojiano haya yameandaliwa na mwanaharakati Anu Khelef kutoka Leicester nchini Uingereza

Karibu mjiunge nasi


Msaada wakuchangia Watoto walemavu Zanzibar kupitia (Hilmy Disability Charity Organisation) kutoka nchini Uingereza kwaajili ya kusaidia michango mbalimbali yanayohitajikakwa kuwasaidia watoto wenye ulemavu Zanzibar.

Kwa anaetaka kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa  Hilmy Disability Charity Organisation Faria Zam kwa number  ya Simu. 745-501-4372

1 comment :