dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 20, 2014

UCHAGUZI WA DMV WACHUKUA SHENGESHE ZA NYUMBANI - MANENO MENGI VITENDO VIDOGO!!!

MH.BALOZI MULAMULA AZUNGUMZA NA WAGOMBEA WA DMV PAMOJA NA KAMATI YA UCHAGUZI!

Balozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mula mula akiwa kwenye picha ya pamoja na wagombea uongozi DMV, wajumbe wa bodi na wajumbe wa tume ya uchaguzi kwenye ofisi za ubaloi Washington Dc Ijumaa Julai 18.

Mh.Balozi akifungua kikao hicho.

Wajumbe wa bodi ya DMV Bw.Ulotu na Mama Kimolo wakifuatilia kikao hicho.
Mjumbe wa tume ya uchaguzi Asha Haritz katika kikao hicho.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Mgombea wa nafasi ya rais wa Jumuiya Bw.Liberatus Mwang’ombe akifuatilia mkutano.

Mgombea nafasi ya kaimu rais Harriet Shangarai akifuatilia kikao hicho.

Rais aliyepo madarakani na anayetetea nafasi yake Bw.Iddy Sandali akifuatilia mkutano huo.

Wagombea wa nafasi ya katibu Bw. Mwilima kushoto na Bw.Mwamende.

Mgombea wa nafasi ya kaimu katibu Bi.Bernadetta Kaiza akiwa na katibu wa tume ya uchaguzi Bi.AshaNyag’anyi.

Anti Asha kushoto akimpa endorsement mgombea wa nafasi ya makamu rais Bi.Salma huku wakipata futari.

Bw.Eliudi Mbowe kushoto akipata futari baada ya kikao na mgombea wa nafasi ya kaimu katibu Bw.Solomon Cris.

Afisa ubalozi Misana akizungumza na wana DMV waliokuwapo kufuturu ubalozini.

Mwanzilishi wa Zanzibar Diaspora Bw.Shamis akipata futari.

Mapacha watatu Anti Asha,Asha na Asha.

Bi.Nyami akipata futari.

Bi.Mariam akipakua futari. Picha kwa hisani ya Sunday Shomari

Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment