dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, August 29, 2014

EBOU SHATRY, SWAHILIVILLA BLOG GIVING BACK TO THE COMMUNITY

swahilivilla

Angalia taswira mbali mbali za msaada wa vifaa vya elimu katika Shule tofauti za Kizimkazi Kusini Unguja, siku ya Alhamis Aug 28, 2014. 
Ebou Shatry na Swahilivilla Blog wakabifhi msaada wa vitabu na kalamu katika shule mbalimbali Unguja.

Msaada wa vifaa vya elimu ukiingia shuleni

Kalamu zikiwa mezani

 Ebou akifurahia wakati na watoto wa shule kabla ya kukabidhi zawadi

 Ebou alitoa ujuzi wa elimu pia

 Kuwa na muda na watoto ni tunu kwa Ebou

 PLEASE HELP US!

 


 Ebou Shatry akimkabidhi msaada wa vitabu mwalimu mkuu wa shule ya Maandalizi "Nursery School) Bi Talha Mussa wa Kizimkazi Kusini Unguja Alhamis Aug. 28, 2014.











No comments :

Post a Comment