dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 1, 2014

Rais wa Zanzibar Dk. SheinnAwaapisha Makamishna na Wakuu wa Wilaya Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mohammed  Faki Mohammed kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hamid Mohamoud  Hamid kuwa Mjumbe  wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha.Mhe. Maalim Ali Rajab, kuwa Mjumbe  wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha.Mhe. Hussein Said Khatib  kuwa Mjumbe  wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Issa  Mohammed Suleiman   kuwa Mjumbe  wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mabrouk Jabu Makame,  kuwa Mjumbe  wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Jabu Khamis Mbwana kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya Mkoani.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani  Pemba  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jiono,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini  Wizra ya Biashara,Viwanda na Masoko.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi SSP Sida Mohamed Himid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba.


//// Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Amran Masoud Amran kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

1 comment :

  1. kwa kumbukumbu zangu bibi SSP Sida hakuwa AFISA MDHAMINI PEMBA.

    ReplyDelete