dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 21, 2014

Dk Shein azungumza na viongozi wa CCm Wilaya ya Dimani

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi  CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mkoa Amani leo alipofika kuzungumza na  Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo wa ziara zake za mikutano ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi  CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mkoa Amani leo alipofika  kuzungumza na Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo waziara zake za kuimarisha Chama Mikoa ya Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani alipohudhuria katika mkutano wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi  CCM uliowashirikisha  Mabalozi na wenyeviti wa maskani  katika mfululizo waziara zake za kuimarisha Chama Mikoa ya Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani kutoka Jimbo la Magogoni wakifuatilia kwa makini taratibu za Mkutano huo zilizotumika   kwa Viongozi wakuu wa  CCM walipozungumzia masuala mbali mbali  katika ziara ya kuimarisha Chama iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, [Picha na Ikulu.]
 Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani kutoka Jimbo la Fuoni wakifuatilia kwa makini taratibu za Mkutano huo zilizotumika   kwa Viongozi wakuu wa  CCM walipozungumzia masuala mbali mbali  katika ziara ya kuimarisha Chama iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, [Picha na Ikulu.]


 Mabalozi wa Jimbo la Magogoni wakinyoosha mikono juu kushangiria wakati walipotambulishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama katikaMikoaya Unguja, [Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya mabalozi iliyosomwa na Balozi Kasim Hassan Haji katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama katikaMikoaya Unguja, [Picha na Ikulu.]
Katibu Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama alipokuwa akihamasisha  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya hiyo walipokuwa katika Mkutano  maalum uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinkatika ziara zake za kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja. [Picha na Ikulu.]
CHANZO: ZANZINEWS

No comments :

Post a Comment