dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, January 23, 2015

UJAMBAZI DARAJANI, ZANZIBAR!





BLOG LA ZANZIBAR NI KWETU, KWA NIABA YA WAZANZIBARI WOTE WANAOTAKA KUIONA ZANZIBAR BILA YA MAJAMBAZI NA BILA YA WEZI KAMA WALE WA ESCROW - YAANI AKINA MZEE CHENGE  NA WENZIWE, TUNAWAPA HONGERA KUBWA SANA POLISI WETU NA WANANCHI WOTE WALIOSAIDIA KUWADHIBITI MAJAMBAZI HAWA!
WEZI WA ESCROW NA MAJAMBAZI HAWA WALIOKAMATWA DARAJANI WOTE NI KUNDI MOJA NA ADABU YAO SIO NYENGINE ISIPOKUWA NI KITANZI TU!
BILA YA KITANZI WIZI KAMA HUU WA ESCROW NA UJAMBAZI KAMA HUU WA KUTUMIA SILAHA ULIYOTOKEA DARAJANI, ZANZIBAR, HAUTOKWISHA NCHINI MILELE!!!

Mmmoja watuhumiwa wa ujambazi katika maeneo ya darajani akiwa chini ya ulinzi wa Polisi akiwa katika gari waliokuwa kulitumia kwa ujambazi huo.aina ya Rav4.Wananchi wakiwa na asira wakiwa katika mtaa wa darajani wa wakishuhudia jeshi la Polisi Zanzibar kuzima jaribio la ujambazi katika maeneo ya darajani makonte, na kuwadhibiti majambazi watatu wakiwa katika harakati za kuvumia katika maeneo hayo kwa kutaka kupora, majambazi wawili wamekamatwa na mmoja kukimbia. 

Wananchi wakishuhudia tukio la kufanyika kwa ujambazi katika maduka ya darajani.Mtuhumiwa wa ujambazi akiwa ndani ya gari ya Polisi baada ya kupata kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira wakati wakiwa katika harakati za kutaka kukimbia jirani na skuli ya Darajani baada ya kutelekeza gari waliokuwa wakiitumia aina ya Noah.


Gari aina ya Noah linalosadikiwa lilitumika katika tukio la ujambazi katika maeneo ya darajani likiwa limetelekezwa baada ya watuhumiwa hao wakiwa katika harakati za kuwakimbia Askari katika eneo la mbele ya skuli ya Darajani.




















No comments :

Post a Comment