dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 29, 2015

WAKAIDI WAPIGWE TU - PINDA!!!

JUU: WAZIRI MKUU WA TANZANIA MHE PINDA HUKO NYUMA AKITANGAZIA AINA MPYA YA APARTHEID TANZANIA KWA KUTOA AMRI KWAMBA WAKAIDI WAPIGWE TU BILA YA KUSIKILIZWA!!!

PIA ONA HAPA CHINI WANANCHI WA MTWARA WALIVYOPIGWA KUHUSU GESI MWAKA JANA:



1 comment :

  1. Kuna kila dalili inayoonesha kuwa askari wa polisi Tanzania,wakirikiana na baadhi ya viongozi wa siasa wa chama tawala,huchukua hukumu mikononi mwao.hii piga piga ya wapinzani wa chama tawala, ni dalili ya hofu ya kupoteza madaraka.Polisi wanatakiwa kuwafikisha wahutumiwa mahakamani bila ya kuwapiga wala kuwaadhibu.Ni kazi ya mahakama kuwahukumu wahutumiwa hao na sio polisi.Inashangaza kuona uonevo huu wanafanyiwa wapinzani tu.Mauaji ya wa Pemba 2001 haikuwa lazima kufikia kiwango wakati waandanamaji hawakuwa na silaha. Suala kubwa ni kwa nini polisi wanawaadhibu wAhutumiwa kabla kuwafikidha mahakamani?mtuhumiwa akiwa anafuata maaelekezo ya polisi,hakuna sababu ya kumpiga au kumuendesha kichura.

    ReplyDelete