dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, February 9, 2015

Maonesho ya kutimia miaka 90 ya skuli ya sekondari ya Benbella

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Benbella Kibibi Mohammed Mbarouk alipofika kufungua maonesho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya Sekondari ya Benbella leo katika viwanja vya Skuli hiyo  mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika kufungua maonesho ya kutimia miaka yaSkuli ya Sekondari ya Benbella leo katika viwanja vya Skuli hiyo mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo Skulini hapo(kushoto) ni Dk.Yussuf Nuhu Pandu Mwenyekiti wa Maonesho na (kulia) Rais wa Wanafunzi wa Skuli ya Benbella Awatif Duchi,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo Skulini hapo(kushoto) ni Dk.Yussuf Nuhu Pandu Mwenyekiti wa Maonesho,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia mapishi mbali mbali wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya kutimia miaka 90 Skuli ya Sekondari ya Benbella leo katika mabanda mbali mbali,[Picha na Ikulu.]

BAADHI  ya wanafunzi wa skuli ya Benbella wakifuatili kwa makini utaratibu wa maonesho ya kutimia miaka 90 ya skuli ya sekondari wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa kitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho hayo leo skulini hapo,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwangalia wanafinzi wa Sayansi Hamada Sheha Vuai na Sumaiya Ussi Abdalla wa Skuli ya Sekondary ya Lumumba wakifanya upasuaji wa Panya wakati alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya  kutimia miaka 90ya Skuli ya Sekondary ya Benbella leo Skulini hapo,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwangalia wanafinzi wa Maandalizi wa Skuli ya Mkunazini Mjini Unguja Darasa la tatu (3) ambao wanatumia kompyuta kwa njia ya kusoma Vitabu wakati alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya Sekondary ya Benbella leo,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Wanajumuiya ya Wasaidizi wa Sheria (ZAPAO) wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya Sekondary ya Benbella leo,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Risala kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondary ya Benbella  Kibibi Mohammed Mbarouk katika sherehe ya kutimia miaka 90 ya Skuli hiyo leo.
[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment