dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, July 28, 2015

Katibu Mkuu Mhe Salum Awaaga Madaktari wa Diaspora Washington.


Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhev Salum Maulid akitowa shukrani kwa Madaktari Diaspora kwa ujio wao na kutoa huduma katika hospitali ya Mnazi mmoja na kuwataka hii siyo mwishi iwe ni endelevu kufika Zanzibar kutoa msaada wa Afya kwa Wananchi wake na kuipongeza Jumuiya ya Watanzania Washington kufanikisha ziara ya Madaktari hao Nchini Tanzania shukrani hizo amezitowa wakati wa kuwaaga katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Madaktari Diaspora wakimsikiliza Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Mhe Salum Maulid wakati wa hafla ya kuwaaga. 
Madaktari Diaspora wakimsikiliza Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Mhe Salum Maulid wakati wa hafla ya kuwaaga.













































/zANZInEWS

No comments :

Post a Comment