dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, November 29, 2015

WANANCHI WAANZA KUGAWANA (NGAWIRA) MALI ZA WAKUBWA WA TRA WALIOKAMATWA!

LATEST!
Inasemekana kuwa hizi nyumba zipo nne sehemu moja, tatu ndogo na moja kubwa. Huyo kijana anaeongea anaitwa Paulo Makasi Samjela na hivi sasa anatafutwa na polisi kwa kuingilia kazi yao na kuupotosha umma kwa kutumia social media.
  http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/979813-acheni-fitna-watanzania-bw-masamaki-tra-ni-tajiri-tokea-zamani.html#post14743383

MJUE BW. TIAGI MASAMAKI WA TRA!


 Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Tiagi Masamaki akizungumza na uongozi wa Shule hiyo pamoja na wanafunzi kabla ya kukabidhi madawati,yaliyotolewa na TRA kwa shule hiyo.
 Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Tiagi Masamaki akizungumza na wanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi Misitu.
 Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Tiagi Masamaki akipena mkoni na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Misitu,Hyasinta Hugo wakati akimkabidhi madawati 100 yaliyotolewa na TRA kwa shule hiyo.

No comments :

Post a Comment