http://lukemusicfactory.blogspot.ca/2016/11/diaspora-marufuku-kumiliki-ardhi-nchini.html
Also click here below to listen to the previous unthoughtful statement of Lukuvi on Zanzibar!
https://www.youtube.com/watch?v=vEmN617bMJ0
Above is Minister Lukuvi who continues to frustrate the genuine efforts of many in the Diaspora to build their country!
Kama ulifuatilia kauli ya mheshimiwa kuke Ziarani Kenya. Alisema waKenya wapatao elfu 50 ikiwa nchi ya kwanza Afrika kuwekeza Tanzania.!! Hawa hawa jirani zetu wana mpaka mashule ya Sekondari na mwaka juzi tulisikia mmoja akifutiwa shule kule kunakoitwa makao makuu!! Dodoma! (tunasubiria yawe) Hawa wenzetu sio wawekezaji tu wanaishi muda mrefu na wana miradi na majumba mengi kila kona. Leo iweje MTanzania aliyetoka nyumbani kutafuta na michango mingi misaada tunayotoa kwa taifa letu eti hawauhusiwi. Ina maana nilitoka nikiwa nimesharutubisha mji wangu na baadhi ya wanafamilia ndugu wanaishi leo sina haki huu ni utawala wa aina gani!. Mnalotakiwa kufanya wana Diaspora na Iddi ukiwa kiongozi mmojawapo ni kuunda kamati za uwakilishi kwa haya maswala. Wewe uliongoza jopo la waTanzania NURSE WANGU kuja kutoa huduma Tanzania bara na Zanzibar kwa mambo kama hayo na mengine mengi mnnayotoa. Mheshiwa Lukuvi Kauli za aina hii zinatupeleka wapi mbona CCM mnatuharibia nchi hii ya asali!
Ninyi wana Diaspora na uongozi mzima wa Dicota acheni kufanya yasiyo na msimgi na niwakati wa kurejea kwenye ajenda muhimu sana. Pia mna uwakilishi Ubalozi wetu wa Tanzania balozi hili nalo analiona la kawaida au naye ameduwazwa!? Hasikiki kabisa kama waliopita!? Kazi kweli!
Je yale aliyowaambieni mheshimiwa Itta alipokuja Amerika kabla ya uchaguzi kuwa Mtanzania yeyote anaishi nje akija nyumbani anaruhusiwa kuwekeza kufanya na atapewa kitambulisho maalumu kumuwezesha. Kadhawakadha. Au ilikuwa jeuri yake kutafuta kiki ya kuteuliwa mgombea?! Unajua acheni lelemama huko ughaibuni wekeni mawazo sio.kula nyama choma Swahili tuuh na bisherehe uchwara.! Mnapiga boxi sio kazi ndogo. Kiki nyingine hazina msingi.
Kwako Mheshimiwa LUKUVI kauli yako hata kwa sisi wanandugu hapa nyumbani inatutiwa wasiwasi na hatuiamini hii serikali yako kwani huko tulikotoka haya mambo yalikuwaje mnapokea tu hebu wasiliana na wataalamu wa fedha na Western Union,Mpesa na bemki wakueleze waTanzania walioko nje wametuma fedha kiasi gani nyumbani kusaidia wanafamilia na ndugu hasa kwa swala.la elimi kwa watoto wao ndugu# ndipo urekebishe kauli yako.kwa waTanzania walioko nje.!! Ni maajabu na majanga. Pull up.yr sockcy guys!
Mstaafu Kikwete alikuwa anakuja kila mwezi lakini bado.mlipwaya na aliwaambieni changamkeni acheni maneno. Sasa mnaye Juma Ponda Mali!!!!???@&&
Kama nchi yetu ya Tanzania inatoa uraia kwa watu wa nchi nyingine, ambapo hao watu wanaopewa uraia wa Tanzania wanaendelea kuwa na haki zote kwenye nchi zao walikotoka, inakuwaje viongozi wa taifa letu washindwe kuona umuhimu wa kulinda haki za watanzania ambao wapo nchi za nje????
Kwa kweli dunia nzima inatucheka. Inasikitisha mno kuona kwamba viongozi wetu wanafanya kila juhudi kuwanyanyasa watanzania wenzao.
Tunaomba tu serikali ya sasa itafakari kwa makini kulinda haki za watanzania ambao wanaishi nje, pamoja na kwamba sheria bado hazijabadilika. Sheria zetu nyingi zimepitwa na wakati. Tunaomba serikali iende polepole wavute subira kuruhusu muda wa katiba na sheria kurekebishwa.
Swali ni why they want to implement it now.?
They started na wafanyabiashara wa sukari sasa ni zamu diaspora then who be next.
Kwetu sisi kilakitu ni nongwa.
umuhimu wao muuthamini ! Uraia ni karatasitu , lakini Utaifa hauwezi kufutika ! kama sikosei serikali ya awamu iliyopita , iliwagawia uraia wa Tanzania ,wakimbizi wa Burundi 30,000 au zaidi ( mwenye kumbukumbu nzuri atanirekebisha ) ! huu ni wakati wakila diaspora kujua kua !, hili ni tatizo na nitatizo kubwa za?idi ya sisi wenyewe diaspora tunavyo liona ! kawa wali wezakuwapa akimbizi uraia ana shindwa nini kwa watanzania wa?zawa wanao saidia familia zao ?