dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 21, 2017

Mchungaji amtabiria ushindi Kenyatta!

Mchungaji wa mitume na maaskofu Tanzania kutoka kanisa la Trust seven day church David Mashimo amemtabili rais wa kenya Uhuru kenyata kwamba ataendelea kuliongoza taifa hilo licha ya uchaguzi mkuu ulofanyika mwezi agosti kufutwa na Jaji mkuu wa mahakama ya nchi hiyo.

Amesema hayo leo jijini Dar er salaam alipokutana na waandishi was habari na kusema kuwa rais Kenyatta ni rais aliyechaguliwa na mungu na wakenya wote wanampenda ndio mana ataendelea kuongoza taifa kwa utuku mungu. Hivyo kuelekea uchaguzi ambao utanyika mwezi ujao wananchi watamchagua bila shaka yoyote kwani ni rais alie bora.
Aidha mchungaji David alimwapisha mwinjilisti

No comments :

Post a Comment