dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 21, 2017

Vimetajwa Viashiria vya Uvunjifu wa Amani Tz

Kila ifikapo Septemba 21, Dunia huwa inaadhimisha siku ya amani, ambapo kwa Tanzania Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za binadamu Dkt Hellen Kijo Bisimba akiyaoongoza mashirika 103 ya haki za binadamu, wametumia siku hiyo kwa kuvitaja viashiria vya uvunjifu wa amani ambavyo vimekuwa vikiongezeka kila uchwao, ikiwa ni pamoja na kauli za viongozi wa juu.

No comments :

Post a Comment